0
points
ugonjwa viwavi

Maize (corn)    Mara, Tanzania

Dawa gani nzuri ninayoweza tumia kuweza kutatua ungonjwa nilionao kwenye shamba langu


Posted by: Kasunga (1 point) Kasunga
Posted: March 21, 2021
Answers

0
points
Kuna madawa nyingi na inapaticana kwa maduka ya agrovet dawa Kama belt ama unaweza uliza afisa was kilimo kwa usaidisi zaidi


Posted by: Kenneth Were (1 point) Kenneth Were
Posted: April 15, 2021
You need to log in if you'd like to add an answer or comment.
PlantVillage PlantVillage logo