0
points
msaada

PlantVillage    Kilifi, Kenya

Naomba msaada wa kuongeza ustahivu wa mimea yangu kwa majanga ili kupunguza uharibifu


Posted by: Alax Shaku (1 point) Alax Shaku
Posted: January 28, 2021
Answers

0
points
hakikisha umepata mmea kwa KALRO ilio na uwezo wa kustahimili majanga tofauti kwani hao hufanya uchunguzi wa mimea tofauti na nguvu za mimea hio kustahimili majanga ..karibu


Posted by: Robert Ngala (1 point) Robert Ngala
Posted: February 19, 2021
You need to log in if you'd like to add an answer or comment.
PlantVillage PlantVillage logo