0
points
dawa ya kuua kanitangaze

Cucumber    Mara Region,Tanzania

ni ipi dawa nzuri ya kuua wadudu wa kanitangaze wanaoshambulia matango


Posted by: nuru (1 point) nuru
Posted: October 7, 2022
Answers

0
points
kanitangaze ni kiumbe mngumu sana kufa au kumthibiti but kwanza anatatizo la kuzoea harufu ya dawa kwahy kwa ushauri tumia dawa kama cutter, libert na ruruka kwa wakati tofauti toauti


Posted by: Ashura Niwakoel Swai (1 point) Ashura Niwakoel Swai
Posted: October 29, 2022
-1
points
tumia Dawa Ina jina la biashara Master au Snowtigger zitakusaidia san


Posted by: Baraka Mfumbilwa (1 point) Baraka Mfumbilwa
Posted: October 15, 2022
You need to log in if you'd like to add an answer or comment.
Heart Heart icon